SAFI KUKU : JIPATIE KUKU WA KIENYEJI KWA BEI POA





Karibu ( SAFI PRODUCT ) Hii mpya kutoka kwetu tumekuletea SAFI KUKU 
Kwa bei sawa na bure jipatie kuku wa kienyeji ( jogoo , mtetea ) kuku wa kisasa na kuku wa nyama ( wale waliomaliza kutaga ) .
Utajipatia kuku akiwa teyari ametengenezwa na ambao bado wapo hai kwa bei ileile .Pia kuku wetu siyo wa kulala kwenye fridge utapata kuku akiwa fresh ambaye amechinjwa saa hiyo hiyo.( Utaalamu wa kuchinja unazingatiwa asilimia 100 )

Karibu sasa tukuhudumie kwa kuku safi kutoka kwetu (SAFI KUKU)
Jogooo Mkubwa(kienyeji) Tshs 18000 Tu!
Mtetea Mkubwa(kienyeji) Tshs 18000 Tu!
Kuku wa nyama(wa mayai) Tshs 13000 Tu!

call/Whatsapp +255 762 183 844 +255 785 814 693

Safi kuku taste the difference